Jumatano, 14 Septemba 2016

Vitambulisho vya Taifa Kubadilishwa kuanzia Jumatano Septemba 14, 2016









Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inatarajia kubadilisha vitambulisho vyote vya zamani ambavyo havina saini, huku ikitarajia kutoa vitambulisho vipya vyenye saini kwa wananchi wote,
waliokamilisha taratibu za usajili na utambuzi kwa kuchukuliwa alama za kibayolojia, ikiwemo alama za vidole, picha na saini ya kielektroniki.